iqna

IQNA

muamala wa karne
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema nchi yake inapinga hatu aya utawala wa Kizayuni wa Israel kuteka eneo zaidi la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472919    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kusimama kidete katika njia ya muqawama au mapambano na njia ya demokrasia ya kuitishwa kura ya maamuzi ili Wapalestina wenyewe waamue mustakabali wao ndilo suluhisho la kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3472483    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/18

TEHRAN (IQNA) - Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa, mbali na mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani uliopewa jina la Muamala wa Karne kukanyaga maazimio ya umoja huo, pia ni wa kibaguzi na unakiuka mamlaka na uhuru wa kujitawala Palestina.
Habari ID: 3472464    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/12

Rais wa Afrika Kusini
TEHRAN (IQNA) - Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mapendekezo ya Rais Donald Trump kwenye ' muamala wa karne ' kuhusu Palestina yanashabihiana na mfumo wa kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi (apatheidi) uliowahi kutawala nchi yake.
Habari ID: 3472459    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/10

TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, mipango ya Marekani na utawala ghasibu wa Israel na ushirikiano wao mkubwa wa kutekeleza mpango wa Muamala wa Karne na kuchora ramani mpya ya kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, utafeli na kushindwa.
Habari ID: 3472458    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/10

TEHRAN (IQNA) - Viongozi wa Afrika wameulaani mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambao ni maarufu kama ' muamala wa karne ' kuhusu utatuzi wa mgogoro wa Israel na Palestina na kuutaja kuwa usio na uhalali.
Habari ID: 3472455    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/09

TEHRAN (IQNA) - Katibu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, Palestina ndio mpaka wa ulimwengu wa Kiislamu na kwamba suala la kuilinda na kuihami Palestina ni wajibu wa Kiqur'ani wa kila Muislamu.
Habari ID: 3472436    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/03

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa tangazo la mpango wa Marekani na Israel unaojulikana kama ' muamala wa karne ' kwa ajili ya kutatua kadhia ya Palestina na kusema nchi za Kiarabu katu hazitaliacha taifa la Palestina peke yake.
Habari ID: 3472429    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/01

Khatibu wa Sala ya Ijuma Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameilaani Marekani kwa kuanzisha njama mpya dhidi ya Waislamu kwa jina la "Muamala wa Karne" na kusema kuwa, njama hizo zitafeli na kushindwa tu.
Habari ID: 3472425    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/31

Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa ya kulaani njama mpya za Marekani dhidi ya taifa madhlumu la Palestina na wamelaani vikali mpango wa Donald Trump wa "Muamala wa Karne."
Habari ID: 3472424    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/31

Ismail Haniya
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano (Muqawama) ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Ismail Haniyeh ametuma ujumbe kwenda kwa viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu akionya ushiriki wa aina yoyote kwa ajili ya kutekelezwa au kuukubali mpango wa Muamala wa Karne na kubainisha kuwa hilo ni kosa kubwa ambalo kamwe raia wa Palestina hawatalisamehe.
Habari ID: 3472422    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/30

Katika barua maalumu
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Bunge la Iran (Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu) ametoa wito wa kukabiliana na mpango bandia wa Rais Donald Trump uliopewa jina la "Muamala wa Karne". Aidha ametoa wito kutatuliwa mgogoro wa Palestina kwa kutumia njia ya kura ya maoni na udiplomasia wa kibunge.
Habari ID: 3472418    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/29

TEHRAN (IQNA) – Rais wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amezitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia uzinduzi wa mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na mgogoro wa Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
Habari ID: 3472412    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/28

Balozi wa Palestina Tehran
TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Palestina nchini Iran amesema utawala haramu wa Israel unapaswa kusitisha ukaliaji mabavu ardhi za Palestina huku akisisitiza kuwa, Palestina ni lazime irejee kwa Wapalestina.
Habari ID: 3472037    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/09

TEHRAN (IQNA)- Aghalabu ya Wapalestina wanapinga vikali mpango wa Muamala wa Karne na kikao cha uchumi kulichofanyika hivi karibuni mjini Manama, Bahrain.
Habari ID: 3472019    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/27

Sheikh Issa Qassim
TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Ayatullah Sheikh Isa Qassim amelaani vikali hatua ya utawala wa Manama kuwa mwenyeji wa Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kuanza leo nchini humo kwa shabaha ya kuzindua mpango wa 'Muamala wa Karne'.
Habari ID: 3472017    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/25

TEHRAN (IQNA) – ‘Muamala wa Karne’ ambao umependekezwa na Marekani kwa lengo la kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kukandamiza ukombozi wa Palestina unaendelea kupingwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3472016    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/24

Iran na Hamas zasisitiza:
TEHRAN (IQNA) - Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimesema utawala wa rais Donald Trump wa Marekani unalenga kuangamiza taifa la Palestina kupitia 'Muamala wa Karne' ulio kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3472004    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/16